Tarehe ya Kuanza: 2026
Karibu kwenye mfumo wa SAM-NCSMS. Tunathamini sana faragha ya watumiaji wetu (walimu, na wazazi). Sera hii inaeleza jinsi tunavyokusanya, kutumia, na kulinda taarifa zako unapotumia mfumo wetu.
Tunokusanya taarifa muhimu tu kwa ajili ya utendaji wa kiutawala na kitaaluma wa shule, ikiwa ni pamoja na:
Taarifa zote zinazokusanywa zinatumika kwa madhumuni yafuatayo pekee:
Tunatumia hatua thabiti za kiusalama (ikiwa ni pamoja na maunganisho salama ya HTTPS/SSL na usimbaji wa nenosiri) kulinda data yako dhidi ya kupotea, kuibiwa, au kufikiwa na watu wasiohusika.
Hatuuzi, hatukodishi, wala hatugawani taarifa binafsi za watumiaji wetu na kampuni au watu wa nje kwa madhumuni ya kibiashara au matangazo.
Ikiwa una maswali yoyote kuhusu sera hii ya faragha, unaweza kuwasiliana na uongozi wa mfumo kupitia barua pepe ya msaada au uongozi wa shule yako.